Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum ametembelea Taasisi ya Shirika la Bima la Zanzibar. Waziri Dkt. Saada ameliagiza shirika la Bima kuharakisha kuzindua Bima ya Kiislamu [TAKAFUL] ili ianze kazi rasmi hapa…