
mkataba wa makubaliano ya huduma za bima baina ya zic na crdb
Katika mikakati mbalimbali ya kukuza uchumi wa buluu leo tumeingia makubaliano na benki ya @crdbbankplcya kutoa huduma za uwakala wa bima katika miradi yote ya kimkakati inayotekelezwa Zanzibar.
Pichani ni Mkurugenzi wetu Ndg. @Arafat__AH pamoja na Bi. Maureen Majaliwa Mkuu wa kitengo cha Bima CRDB wakionesha hati za makubaliano hayo.