Image

JAPE U. KHAMIS

Acting Chief Executive Officer

CEO's WORD

On behalf of the Board of Directors, Management, and staff of Zanzibar Insurance Corporation I would like to extend our sincere gratitude to the President of Zanzibar and Chairman of the Revolutionary Council H.E Dr. Hussein Ali Mwinyi for his consistent efforts to ensure that Zanzibar continues to attract investors as a place that offers a wide range of opportunities and world class insurance solutions to protect their businesses.

As we walk into our 55th year, our goal as an insurer is to raise our service standards to a higher level. We are committed to provide the best possible insurance solutions for individuals and enterprises and help safeguard our country's economy.

We wish you a fruitful year ahead and we promise to serve you with the best insurance solutions for your needs. Your unwavering support propels us forward, your loyalty fuels our purpose, and your trust in us accelerates our growth.

THANK YOU!

Award

Most Reliable insurance company of the year

Board of Chair of the year Award

CEO of the Year Award

Head of legal secretary of the Year

CCO/Director of sales Distribution &marketing of the Year award

CFO/Director of finance of the Year award

Why Us

Zanzibar Insurance Corporation is duly registered Insurance Company and licensed by Commissioner of Insurance Tanzania.

With 55 years of establishment as a government owned parastatal under Ministry of Finance and Planning has a wide national network covering all regions of Tanzania Mainland and Zanzibar Islands for easily accessing of exemplary insurance services.

With Its Head Office In Zanzibar. ZIC has 10 more branches located In several parts of Tanzania from:

The corporation is served with Competent Leadership, committed team with highly trained staff, Agents, and Brokers.

When it comes to insurance, there is no substitute for Experience and Financial Stability, through our team of highly skilled professional advisors, Our commitment to deliver premier advice and maintain a sustainable cashflow and ensure each and every client is assured.

Zanzibar Insurance Corporation in partnership with other insurance providers, offers bespoke financial planning and services solutions with a range of internationally portable products to help you protect your family, invest for future wealth, and meet your insurance goals.

Lastly we are prompt when you need us to attend to your claims and assist in submission, negotiations and satisfactory settlement.

Focusing on sustainability is how we constantly improve our business and of course our services to you.


ZIC News & Events

ZIC YAFUNGUA MILANGO KATIKA KITUO CHA UTOAJI HUDUMA KWA PAMOJA ZBS

Shirika la bima la Zanzibar (ZIC) limefungua rasmi ofisi yake mpya ya mauzo iliyopo katika kituo cha utoaji huduma kwa pamoja “One Stop Centre” kilichopo katika ofisi za Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS). 

Ufunguzi huo ulitanguliwa na uzinduzi rasmi wa kituo cha ukaguzi wa vyombo vya moto uliofanyika mapema leo ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. 

Shirika linapenda kuwakaribisha wananchi wote kufika katika ofisi hiyo na kupata huduma za bima. 

Pichani ni Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZIC Bw. Jape Ussi Khamis (Wa pili kushoto) akiwa na watendaji wa Shirika hilo. 

ZIC FC MSHINDI WA BONANZA LA AFISI YA RAIS FEDHA NA MIPANGO 2024 

Timu ya Mpira wa miguu ya Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC FC) imeibuka mshindi katika bonanza lililoandaliwa na Afisi ya Rais Fedha na Mipango SMZ baada ya kuwafunga majirani zao PBZ FC magoli 2 - 1.

Bonanza hilo lililoshirikisha taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyo limefanyika katika viwanja vya Mao Zedong ambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum.

Bonanza hilo lilifunguliwa kwa mazoezi mbali mbali ya viungo kwa wafanyakazi wote na kuhitimishwa na kinyang’anyiro cha mpira wa miguu ikiwa ni ishara ya umuhimu wa mazoezi kwa uimara wa kimwili na kiakili katika utendaji kazi na kufikia malengo ambayo taasisi hizo zimejiwekea.  

ZIC YADHAMINI MBIO ZA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI WILAYANI BUKOBA

Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) limeshiriki katika Mbio za uhamasishaji utalii wa ndani zijulikanazo kama Rubare Forest Trail Run ambazo zimefanyika katika Hifadhi ya msitu wa Rubare uliopo katika Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo mgeni rasmi wa mbio hizo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe. Erasto Sima. 

Mbio hizo ambazo zimefanyika kwa udhamini wa ZIC zilipambwa kwa mandhari nzuri iliyosheheni vivutio vya utalii vipatikanavyo katika msitu huo ikiwemo maporomoko ya maji ya Kyamunene (Kyamunene Waterfalls) pamoja na pango la Kyamunene (Kyamunene Historical Cave) ambalo Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alilitumia kama sehemu ya kupokea taarifa katika vita vya Kagera mnamo mwaka 1978 hadi mwaka 1979.

Wakati ...

Read More...

ZIC NA TIGO PESA WAZINDUA HUDUMA MPYA YA BIMA YA VYOMBO VYA MOTO KUPITIA TIGO PESA

Shirika la Bima la Zanzibar kwa kushirikana na Tigo Pesa wamezindua huduma mpya itakayomuwezesha mteja wa bima kupata huduma kupitia mfumo wa Tigo Pesa wa USSD au kupitia Tigo Pesa App. Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika jana katika Hoteli ya Golden Tulip Airport ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango SMZ Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum.

Wakati akitoa Hotuba yake, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum alisema kuwa mashirikiano baina ZIC na Tigo Pesa ni hatua muhimu kwa maendeleo ya sekta ya fedha kwani inakwenda sambamba na azma ya Serikali ya awamu ya nane ya kuongeza ubunifu katika sekta ya fedha na kuzifanya huduma za fedha kuwa jumuishi zaidi kwa wananchi. 

Kwa upande wake Mkurugenzi Mwendesha...

Read More...

MASHIRIKIANO BAINA YA MIF AND ZIC

Mapema leo, Watendaji wa Shirika la Bima la Zanzibar walionana na kufanya mazungumzo na Mwanzilishi wa Mwanamke Initiative Foundation Mhe. Wanu Hafidh Ameir walipofika ofisini kwake Mbweni kumtembelea. 


Pia walimkabidhi tuzo ya kuthamini mchango wake katika kuongeza uelewa wa bima kwa jamii akiwa miongoni mwa mabalozi wa bima nchini. 


Shirika litaendelea kushirikiana na taasisi ya Mwanamke Foundation katika kuunga mkono jitihada za Serikali katika kutokomeza umasikini na kulinda maslahi na ustawi wa mwanamke katika jamii yetu. 


UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA ZIC

Akizungumza kwenye hafla hiyo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya Salum (pichani) pamoja na kulipongeza shirika hilo kwa mabadiliko hayo alisema muonekano mpya wa ZIC, unaombatana na maboresho zaidi ya huduma zake utasaidia kuboresha zaidi imani ya umma juu ya shirika hilo na sekta ya bima kwa ujumla hatua ambayo itachochea mwamko wa wananchi wengi zaidi katika kutumia huduma za bima.

UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA ZIC

Katika hotuba yake, Mwenyekiti wa Bodi ya ZIC, Bwana Ramadhan Mwalim Khamis alisisitiza zaidi dhamira ya kampuni hiyo katika kuendelea kuwa mtoa huduma wa bima mwenye kuaminika zaidi nchini. Alisema jitihada za mabadiliko hayo ni uthibitisho wa dhamira ya ZIC isiyoyumba ya kufikia malengo makubwa zaidi iliyojiwekea.

FINANCIALS REPORTS

Download 2021
Download 2022

OUR NETWORK

Brokers

Agents

Branches

Staff